MimiT
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 599
- 388
Nataka kuanza kufuga kuku soon. Nina plan kuanza na kuku wa nyama coz mtaji nilionao sio mkubwa sana. Naomba kujulishwa nikiwa kama na mil 2 hivi inatosha kwa miezi yote 6? Hiyo mil 2 ni pamoja na kujenga banda. Nina imani nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu