Inategemea unajenga banda la sh ngapi?kwa kawaida kuku 200 wanakula mifuko ya chakula 9 hadi kuuza.kila mfuko ni kati ya sh 40000 -43000 kutegemeana na chakula kinatoka wapi.Ila kizuri ni Falcon au Nasaad. Kuku 300 wanatumia mifuko 15 hadi unauza na kifaranga kimoja kinaunzw kati ya sh 1200-1500.madawa weka kati ya sh 40000 -50000.hapo waweza piga mahesabu.hope utapata angalau mwanga.