Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Salaam
Wana jamii nawasalimu sana,
Kuku wa nyama wanapatika kwa simu hii hapa 0755 557094
Ni majogoo ya nyama, yametunzwa vizuri, wana uzito wa
kuanzia kilo tatu na kuendelea,
tafadhali wasiliana nasi, huduma ya kukuletea mzigo hapo
ulipo ipo kwa atakaenunua kuku zaidi ya kumi.
Jenga afya yako kwa kula kuku wa asili.
Nashukuru jf kwa kuwa nimepata
mtu wa jumla na amechukuwa kuku
wote 200.
ikitokea bachi nyingine nitawataarifu.
jf ni zaidi ya tunavyoifahamu.