Salaam nyote.
Kwa wenye kuhitaji kuku wa nyama wanapatikana na wako na kilo nzuri kabisa na ni wazito pia wana umri wa wiki 5.
Idadi kwa anayetaka kwa sasa wapo kuku mia nane (800) na pia unaweza ukasema unahitaji wangapi kwa uwezo wako nayo ni sawa tu.
Kuku wapo Dar-es-salaam, Tabata bei ni 4700 Tshs kwa atakayehitaji anaweza fanya mawasiliano kwa namba hii hapa chini KARIBUNI.
0715 409 555, 0784 409 555
MAMA RADHIA
SHUKRAN SANA.