Wapo Dar nyuma ya interchick.
Kienyeji pure wamebaki 5 jogoo mmoja, tetea mmoja tayari anataga. Wako pia watano wa miezi 5.
Chotara wamebaki jogoo 3 na matetea 10 wote wana miezi 7 ndo wanatetea.
Sms 0767246949
Jogoo ni 15000 tetea kienyeji 12000 ukichukua wengi inapungua.