Kuku wakubwa kenbro wanauzwa

Kuku wakubwa kenbro wanauzwa

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,270
Reaction score
534
DSCN8759.JPGDSCN8758.JPGNauza kuku Unaowaona pichani, ni wakubwa wazuri hawana tatizo lolote. Kuna wanaotaga kwa sasa na wanaotarajiwa kuanza kutaga muda wowote kuanzia sasa. Nauza na majogoo wote. Atakayenunua kuanzia 20 kutakuwa na punguzo maalumu. Chanjo zote wamepata na wako kwenye afya nzuri. Niko Dar Es Salaam na anayependa tu anaweza kuwasiliana nami kwa 07DSCN8756.JPG67802075DSCN8756.JPG. Sababu ya kuuza ni kuwa nabadili mradi.DSCN8758.JPG
Karibuni nyote.
 

Attachments

  • DSCN8765.JPG
    DSCN8765.JPG
    1.4 MB · Views: 142
Back
Top Bottom