Nauza kuku Unaowaona pichani, ni wakubwa wazuri hawana tatizo lolote. Kuna wanaotaga kwa sasa na wanaotarajiwa kuanza kutaga muda wowote kuanzia sasa. Nauza na majogoo wote. Atakayenunua kuanzia 20 kutakuwa na punguzo maalumu. Chanjo zote wamepata na wako kwenye afya nzuri. Niko Dar Es Salaam na anayependa tu anaweza kuwasiliana nami kwa 0767802075. Sababu ya kuuza ni kuwa nabadili mradi.
Karibuni nyote.