Ratio ya jogoo kwa mitetea ni ngapi?
Majogoo wakiwa wachache ni tatizo maana wana overdoziwa
Wakiwa wengi pia ni shida kwani wanaishia kugombana badala ya kupanda.
Hakikisha ratio ni mitetea 10 kwa jogoo mmoja au ikizidi sana iwe 8 kwa 1
unapotaka kuyaondoa hakikisha mikono yako ni mikavu ni vema ukipaka vumbi au majivu au hata ukijifuta na kitambaa kikavu. Na utakapomwekea kuku mwingine atatotoa kama kawaida.Hayo ninayoyaondoa nawapa kuku wengine wazuri ama?