Kuku wangu wamepatwa na nini?

Muda mwingine magonjwa ya mlipuko hasa yatokanayo na virusi huua kwa ghafla hasa kama huchanji mara kwa mara
Dawa zipi mkuu ndo naanza ufugaji lkn pia kuna kuku wanandui naweza kuwatibu vipi
 
Jifunze lugha mkuu...... Usiseme kuku wako SEMA kuku unaowafuga .... Unaposema kuku wako unatuchanganya kidog hapo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…