Kuku wangu wameshuka utagaji sijajua shida ni nini msaada kwa anaejua sababu

Kuku wangu wameshuka utagaji sijajua shida ni nini msaada kwa anaejua sababu

emasingija

New Member
Joined
Apr 23, 2019
Posts
4
Reaction score
3
Habarini ndugu wafugaji na wakulima,

Nina kuku wa mayai ambao wana mda wa miezi mitatu toka wameanza kutaga mwanzo walikuwa wanaenda vizuri kila wiki utagaji ulikuwa unapanda nilifikia tray 6 kwa siku lakini mpaka leo nakusanya tray 4 shida yawezakuwa nini ndugu.

Msaada changamoto zinazopelekea hiyo hali.
 
Huenda wanapata chakula kichache au wanapata chakula hakina madini ya kutosha ya utagaji.
 
Back
Top Bottom