Habarini ndugu wafugaji na wakulima,
Nina kuku wa mayai ambao wana mda wa miezi mitatu toka wameanza kutaga mwanzo walikuwa wanaenda vizuri kila wiki utagaji ulikuwa unapanda nilifikia tray 6 kwa siku lakini mpaka leo nakusanya tray 4 shida yawezakuwa nini ndugu.
Msaada changamoto zinazopelekea hiyo hali.