Kuku wangu wengi wameugua ghafla msaada tafadhali.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Habari za Jamiiforums.

Kuku wangu wengi wameanza kuugua mafua, na kufa kwa haraka,
Sijui wamekula nini?
tangu tarehe 2/2/14 kila siku kwenye banda ninakuta kuku aliyekufa"

Msaada wa haraka Jf Banda halijamalizika!!
 
Wa-kisasa au kienyeji ili iwe rahisi kwa wadau kudadavua
 
Kuku wako wanahitaji mtaalam wa wanyama awaone na aweze kukushauri uwape tiba gani, wahi sasa tafuta daktari wa mifugo akusaidie.
 
Kuku wangu ni wa asili(Kienyeji)
Mkuu.

Du, kwa uhakika nenda kwenye duka la madawa ya mifigo kuna wataalamu, ingekuwa unaishi tegeta , hapa kituoni kuna duka la dawa za mifugo huwa hata mimi Napata utaalamu wa bure nikinunua dawa.....pole mkuu ndio changamoto, pia jaribu kuangaia kama wanaharisha uharo wa kijani huu ugonwa kwa kipindi hiki ni hatari hata mimi umenipatia hasara nimshazika kuku watatu....mara nyingi hufa usiku.
 
hawa kuku mdomoni wana kama majimaji au kamasi!!! halaf wanakoroma!!!
 
Kuku wangu ni wa asili(Kienyeji)
Mkuu.
Pole sana hata wa kienyeji huugua mafua na kufa. Tatizo wenye pharmacy wengi hutoa dawa za kutuliza kama fluquin. Kuna dawa maalumu za mfua makali sina uhakika na spelling ila moja ni galadexine (sp) hivyo rudi famasi na waambie mafua makali na wanakufa jaribu kuwapa vitamin kuwaongeza kinga ila tiba sahihi ni muhimu na chunguza wagonjwa wote watenge.
 
Sawa Mama Joe
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa ni mafua. nenda duka la dawa za mifugo nunua antibiotics yoyote ya kuku, utapewa maelekezo zaidi ya jinsi ya kuwapatia, watapona tu. nami niliwahi kupata tatizo kama lako, limeisha. Pole sana.
 
Itakuwa ni mafua. nenda duka la dawa za mifugo nunua antibiotics yoyote ya kuku, utapewa maelekezo zaidi ya jisi ya kuwapatia, watapona tu. nami niliwahi kupata tatizo kama lako limeisha. Pole sana.

Leo ndio nimewapakia nipeleke sokoni maana wataisha,Dawa ninawapa lakini bado wanakufa

Dawa niliyowapa ni Fliquin sijui ni mafua tu au kuna kingine??
 
Antibiotics inatibu zaidi ya ugonjwa mmoja, ikiwemo mafua. Bahati mbaya siko nyumbani ningekusomea jina la dawa niliyotumia, ilinisaidia sana ila ina jina gumu kidogo. Nina wasiwasi na kuwauza kuku waliotoka kutumia dawa. Vp kuhusu usalama wa walaji?
 
Dawa niliwapa Jumatatu iliyopita, Hivyo sidhani kama bado watakua na athari zozote kwa mtumiaji,
Kwani dawa ikishapita 24hour,s dawa huisha mwilini""

Ingekua vizuri. pindi ukirudi Nyumbani unitumie jina la hio Dawa...
 
nitakupa jina la dawa. Kuku wanatakiwa kuuzwa kwa ajili ya kuliwa siku 7 baada ya kutumia dawa. Cheki na wataalam upate uhakika zaidi.
 
Dawa niliwapa Jumatatu iliyopita, Hivyo sidhani kama bado watakua na athari zozote kwa mtumiaji,
Kwani dawa ikishapita 24hour,s dawa huisha mwilini""

Ingekua vizuri. pindi ukirudi Nyumbani unitumie jina la hio Dawa...

Inaitwa KEPROCERYL (Hydrosoluble mix of antibiotics and vitamins). Angalia expire date, kuna mtindo wa kuuza dawa zilizoisha muda wake wa matumizi.
 
Back
Top Bottom