Kuku wangu


Kwani jogoo siyo kuku?
 
heeeh! mi sikujua bana, najua kijijini wote wanakuwa wakulima. wanalima mifugo na mtama!
my apologies nn. kwa hasira huyo kuku wako hafai kwa supu?manake mi sipendi chai kama kaizer!
Yeye NN hana mtama, ana kuku. Umemfahamu King'asti?<img src="images/smilies/coffee.gif" border="0" alt="" title="Coffee" smilieid="47" class="inlineimg" />
<br />
<br />
 
Mwambie jirani aende mahakamani kama ana ushahidi. Nitakutetea.
 
Uzembe ni wa jirani,kwa nn asilinde mtama wake ilihali anajua mtaani kuna kuku kama huyo wa kwako?
 
Jamani eeh naombeni msaada. Kuku wangu kala mtama wa jirani sasa jirani kaja juu. Anataka anipeleke mahakamani. Msaada jamani.
NN, Ungekuwa Mdada ningesema kuwa unamaana kuwa Shemej kamega maeneo ya Jiran,sasa kwa kuwa wewe ni Mzee mwenzangu,napata Picha kuwa yule kijana wetu katia Mimba mtoto wa Jiran na jiran ndo kalianzisha Tayar kishar shar,J5 tumeet Calabash,nikupeleke Kwa Wataalam wamfunge huyo Jiran mawazo yake
 
Nitakuwa wakili wa huyo kuku, peleka mahakamani.
 

Nitakutafuta kaka.
 
Nitakuwa wakili wa huyo kuku, peleka mahakamani.

Ulipata festi klasi ya UDSM wewe? Tunatafuta mawakili waliopata festi klasi ya UDSM na waliofundishwa na Dkt. Majamba na yule Prof. Palamagamba (sijui nimelipatia jina lake?).

Kama una festi klasi ya UDSM nitumie PM.
 
<br />
<br />
zinahukumu. Juzi tu hapa nimetoka kusikiliza kesi ya kuku na jamaa flani hivi. Kuku alishinda.

Kosa la huyo kuku lilikuwa nini? Maana wa kwangu kala mtama wa jirani.
 
Naomba kujua kama ni kuku wa kienyeji, wa kidhungu, kishingo au mabata maana???
 
Mwambie jirani asilete za kuleta..
Anaelewa kuna ndege angani, kuna
Kuku mitaani, na sasa ni kiangazi ..
Ndege, kuku etc walioshiba watapita ..
Walio na nja, wanaotaka akiba na
walaku lazima wata donoa donoa
Ukiwa mtam, rahisi kumze hawawezi acha..

Nawe uanze kumlisha kukuwako vema
Ukiweza mzuie asiende nyumba ya pili.
 

Unapenda supu ya kuku wewe?

Na unapenda sehemu gani ya kuku? Chicken breast? thighs? backs? gizzards? liver? hearts? neck(s)? drums? wings? wingettes? feet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…