Unapenda supu ya kuku wewe?

Na unapenda sehemu gani ya kuku? Chicken breast? thighs? backs? gizzards? liver? hearts? neck(s)? drums? wings? wingettes? feet?
Yap
Supu muhimu sana naamini ni dawa
+ vitamins ...
Uzuri wa kumla kuku usichague..
Anza na mguu malizia na kichwa..
Kujibu swali lako.. sehemu zote za kuku
Ni tamu na nazipenda... ntam nyoyoa tu
Basii...
Unapenda apikweje? akaangwe? achemshwe? wa mchuzi? wa kubanikwa? wa kuchomwa?
Udaa kule leo hatuendi?kuku keshataimiwa huyo hapa limebaki jina tuNN nitaman huyu kuku wako aje kula mtama wangu......sipati picha lake!
Hahhahahah

Udaa kule leo hatuendi?kuku keshataimiwa huyo hapa limebaki jina tu
NN nitaman huyu kuku wako aje kula mtama wangu......sipati picha lake!
Hahhahahah
Haijalishi ilimradi kuku.. ..
Ila nikipika mwenyewe ..napenda
Kupika Butter Chicken ..
Nyie nanyi....sasa mmegeuza hili jukwaa la mapishi?!
Thread ni yangu na ni rukhsa kujadili chochote.

Mtama wako uko wapi nimlete huyu kuku wangu...?
Nyie nanyi....sasa mmegeuza hili jukwaa la mapishi?!
Wapi nimesema sio yako au siyo ruksa?!

NN ningejua aina ya kuku wako ingesaidia kdg, mana sidhan kama kuku wote wanakula mtama.

Wapi nimesema sio yako au siyo ruksa?!
Hapa ulikuwa unamuuliza nani sasa?
Mimi nimesema thread ni yangu. Sijasema wewe umesema si yangu au siyo rukhsa. Mimi ndiyo nimesema. Sasa wewe unaniuliza wapi wewe umesema kama vile mimi nimesema wewe umesema. Wee vipi wewe? Unaumwa?
Habari yako dada Lizzy?

Hiyo butter ni salted au unsalted?
Sasa kama mimi sikisema SIO yako hayo mawazo ya kunieleza kwamba ni yako ulipata wapi?!
Nyie nanyi....sasa mmegeuza hili jukwaa la mapishi?!
Kujibu swali lako....NDIO NAUMWA!!!