Nimeyapata hapa
Hayo ni maneno yako. Ni kana kwamba unatushangaa na unatuuliza kama tumegeuza "hili jukwaa la mapishi". Hilo swali lako linaashiria hapa kwenye mapenzi, mahusiano, na urafiki hatutakiwi kuongelea mambo ya butter chicken.
Unaumwa nini?
<br />
<br />
Salted , have to be really hot ( chilly )
Baadaye..
Kana kwamba sio uhakika!!
Nwy naumwa mwili!!
Huh!
Meza dawa.
Sina dawa....!
Yummy!<br />
Unaenda wapi?
Restaurant nyingine ni 24/7
Naenda kupika .. kula muhimu
Usiku au mchana ..
Kanunue kwenye duka la dawa baridi.
Sasa hivi hata Bar wameshafunga...
Chochote kwenye menu
( chaguo la mteja )..
Nitakutafuta kaka.
Ulipata festi klasi ya UDSM wewe? Tunatafuta mawakili waliopata festi klasi ya UDSM na waliofundishwa na Dkt. Majamba na yule Prof. Palamagamba (sijui nimelipatia jina lake?).
Kama una festi klasi ya UDSM nitumie PM.
Jamani eeh naombeni msaada. Kuku wangu kala mtama wa jirani sasa jirani kaja juu. Anataka anipeleke mahakamani. Msaada jamani.
Ninayo ya Online mkuu.
Mlipe tu ili mmalizane, akienda mahakamani unaweza mkosa kuku mwenyewe
Kosa ni lako wewe mwenye Kuku....kwann usimfungie kwenye banda unamuacha anazurura hovyo? kuku hana kosa maana hana anaemjali anajitafutia chakula hivyo ilimlazimu kula mtama kwa jirani..kwako hana kitu cha kula...kuku hana uangalizi, hatunzwi..unategemea nin broda...tena usipokuwa makini jirani atamfanya kitoweo muda wowote. hahahahaha