Kukua kwa Lugha,tuwe makini tunapotumia maneno haya

Kukua kwa Lugha,tuwe makini tunapotumia maneno haya

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
8,926
Reaction score
17,880
Katika pitapita ya kujisomea nimekutana na neno Afande ambapo nimesituka sana na maana ya pili ya neno hilo, hii inatokana na Tabia yangu kupenda kuitana na rafiki zangu "afande" hapa nimejifunza kuwa kuna maneno mengi tumekuwa tukiyatumia kwa kujua maana moja tu ya neno husika kumbe kuna maana nyingine[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

>>>
fb99d3dea1d688aebaaed0afc9407a6b.jpg
<<<<<<<

Hebu tujuzane maneno mengine ya kiswahili yenye maana tofauti na iliyozoeleka ili tuweze kupanuana katika hii lugha adhimu

Ahsanteni,Mungu awabariki
 
Hivyo vinaitwa visawe vipo vingi sana kwenye lugha adhimu ya kiswahili

Mazingira na matumizi yake ndyo hutofautisha kisawe kimoja na kingne
We ni afande?[emoji31] [emoji31]
 
Back
Top Bottom