Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Well.. kuna michezo mbalimbali ya utoto ambayo ilikuwa ni burudani, vituko na wakati fulani ilizaa urafiki wa kudumu sana. Michezo ambayo watoto wetu leo hii wanaweza kuona kuwa haina maana tena na wamebakia kucheza na computer, TV na gameboards..
Kombolela
Kioo kioo
Ukuti ukuti
Kuruka kamba
Hiki na Hoko
Namtafuta rafiki
Tiari bado (mchezo huu ungepigwa marufuku!!!)
Kitambaa changu cheupe
Tukuone maringo yako!
Watoto wangu eh
Upi uliupenda na kwanini?
Sisi kijijini ilikuwa kuchunga ng'ombe

Mimi nilikuwa naupenda ule mchezo wa:
Nampenda nampenda...nani...kijana mmoja....nani...mweusi kidogo...nani...
aah, wachunga ng'ombe wote wana mchezo wa kupigana kwa fimbo au sio!
Du kumbe na wewe babu ulicheza michezo hii. Mimi hiyo kwenye bluu niliipenda zaidi!Well.. kuna michezo mbalimbali ya utoto ambayo ilikuwa ni burudani, vituko na wakati fulani ilizaa urafiki wa kudumu sana. Michezo ambayo watoto wetu leo hii wanaweza kuona kuwa haina maana tena na wamebakia kucheza na computer, TV na gameboards..
Kombolela
Kioo kioo
Ukuti ukuti
Kuruka kamba
Hiki na Hoko
Namtafuta rafiki
Tiari bado (mchezo huu ungepigwa marufuku!!!)
Kitambaa changu cheupe
Tukuone maringo yako!
Watoto wangu eh
Upi uliupenda na kwanini?
Mimi nilikuwa naupenda ule mchezo wa:
Nampenda nampenda...nani...kijana mmoja....nani...mweusi kidogo...nani...
Hivi ule wa baba na mama unaitwaje vile? Ulikuwa my favourite.