Elections 2010 Kukumbushwa na kupotoshwa kipi bora?

Elections 2010 Kukumbushwa na kupotoshwa kipi bora?

mozze

Senior Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
185
Reaction score
28
Kumekuwa na habari kuwa mgombea wa CHADEMA alikumbushwa kuongelea masuala ya Uchumi. Wapo wanaotumia hii kama silaha ya mashambulizi.
Lakini kwa miaka mitano mambo mbalimbali ya kitaifa yameenda kombo. Mfano mdogo ni mtu kuambia sio rahia na chama cha siasa ambao sio wenye majukumu ya kutoa urahia. Wale waliokuwa wanashabikia, nikikumbuka kwa mfano Katibu wa CCM, nimeona kwenye magazeti anasema mkubwa amepotoshwa na wasaidizi wake.
Kati ya hawa wawili yupi ni BORA!
 
Back
Top Bottom