Kukutia Ole Pumbun anakukumbusha nini?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Huyu jamaa anakukumbusha wapi na mwaka gani.. Personally he reminds me some way back more than ten years ago with my friends .Some of them are no longer breathing ..Those were the days bana..We ukisikia jina hili unakumbuka wapi?
 
Enzi za utoto kuoga adi nishikiwe viboko siku nikitulia home ujue ni siku ya ndondo na wali
 
Mmhh ni dhahiri huu uzi haunihusu.... Maana hamna nlichoelewa
 
nakumbuka tu law hapo nakutana na swali alafu mwisho unakuta hakwambi with relevant case hapo ndo huwa namkumbukaga kukutia ole pumbuni na wengine kibao
 
Nakumbuka chuoni mwaka wa pili nikisoma sheria kwenye administrative law mambo ya Judicial review kuna kesi jamaa alishitaki. Basi tulikuwa tunafundishwa na madam mmoja hivi akiitaja hii kesi darasa zima tunaangua kicheko.

Kukutia Ole pumbuni Bado yupo hai kwenye law day ya mwaka huu alikuwepo alialikwa na serikali.
 
Jf balaa
 

Attachments

  • 20180729_123418.png
    327.6 KB · Views: 102
hahahah hiyo ilikuwa second year LLB... dah!!
 
Hyo case pamoja na ya ndyanabo ni mojawapo ya case mashuhuri ambazo zinashow the procedings agaist the goverment after 1993 ambazo hutumika kama reference through GOVERMENTPROCEEDING Act CAP 5
 
Mambo ya wana sheria hapa enzi hizo udsm kwa professor "solo solo cedit"
Watoto wa Law walikuwaga wana tunyanyasa sana na misemo yao ya kilatini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…