Kukuza soka la Tanzania TFF rudisheni mashindano ya mikoa

Kukuza soka la Tanzania TFF rudisheni mashindano ya mikoa

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
431
Reaction score
310
Ukiangalia soka letu la leo kweli vijana wanaonyesha uwezo mkubwa ila naamini wapo wengi zaidi ila wanakosa nafasi ya kuonekana, mashindano ya mikoa yalisaidia sana vijana wengi kuonyesha vipaji vyao,

Leo timu nyingi za ligi kuu zinaingia gharama kubwa kusajili wachezaji kutoka nchi mbalimbali, naamini kabisa vipaji vingi vinakufa bila kujulikana

Mashindano ya mikoa kama yakirudishwa yangeleta mapinduzi makubwa katika soka letu
 
Back
Top Bottom