Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Mkuu mbengeMkuu mada yako ni fikirishi mno, ijapokuwa inahitaji tafakuri na ithibati za kiuchumi zaidi. Umefanya vyema kuainisha maeneo ya kimkakati ambayo yanaweza kuchochea mabadiliko chanya yenye muelekeo zaidi wa sera za kifedha.
Vichocheo vya kiuchumi yaani "stimulus packages" zinaweza kutumika kama njia ya majaribio ya kutaka kutumia sera ya kifedha (i.e. monetary policy) ktk kuchochea uchumi ikiwa kama njia ya kipekee, muhimu na yenye tija ya kuweza kuinusuru serikali kwa hivi sasa.
Serikali imeamua kukumbatia "fiscal policy" peke yake kwa kuwa naweza kusema haioni umuhimu wa sekta binafsi. BoT ni lazima ichukue na kisimama ktk sehemu yake ili iweze kuishauri vyema serikali. Wataalamu wa mambo ya fedha wanapaswa kuishauri serikali yetu vyema kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote toka awamu ya tano ilipoingia madarakani.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Nimeshindwa clueless hii ni mada gani, na hizo A&B umezitenga kwanini. Kwani ukilewa lazima uanzishe mada?
Mkuu,Nimeshindwa clueless hii ni mada gani, na hizo A&B umezitenga kwanini. Kwani ukilewa lazima uanzishe mada?
Mkuu,
Kama huna cha maana cha kuchangia kuboresha mawazo ni bora ungekaa kimya kuliko kuwa raibu wa ukosoaji kwa kila kitu mpaka kile kinachokufurahisha mtima wako tu. Wewe siasa za mkumbo zimekuharibu. We do not talk politics on this agenda rather we are pooling in constructive ideas on how to collectively participate in improving country, enterprise and individual economy iamid the challenging hurdles.
Wanajeshi ujira wao ni ugali maharage wanajitolea kwa uzalendoUjenzi wa miundombinu yote ya maana wamepewa wanajeshi na wachina,mtu wa Undendeule hata afanye nini hapewi.
Umewahi kusikia yale makampuni makubwa ya ujenzi ya wazawa yakipewa tenda yoyote awamu hii?
Labda yule mume mwenza anayejenga uwanja wa Chato.
Ujamaa ulishindwa hata ulipoasisiwaMentality ya MAGUFULI ni kuondoa wafanyabiashara wote, na Serikali ndio ifanye biashara zote hadi kuuza karanga
Wewe inawezekana hata unapopumua unajipinga kwanini unapumua ni hasara tupu; kwani ukiona watu wengi wamechangia hata bila mawazo tatuzi wewe unajiona umetoa wazo la maana kumbe wanakudharau. Wachache hata mmoja pekee mwenye mawazo ujenzi huyo ndio amewekeza kwa tija sio wewe debe tupu la maneno yasiyo na maana yoyote ile. Kila ukiwaza ni siasa uchwara ambazo zimekulevya hadi kuwa raibu na mtumwa wa pinga pinga na kosoa kosoa iliyojaa chuki binafsi kutokana na kuzibiwa mirija fisidi. Waachie intellectuals wachangia wewe kaa kimya tafadhali kuliko kujifanya mjuaji kwa kila kitu.Mkuu ukitaka kujua huna jipya uliloleta hapa, angalia mpaka sasa ni watu wangapi wamechangia mpaka leo. Post yako imetazamwa na watu 180+, lakini ukitoa post zangu na zako, nyingine hazizidi 7. Jitafakari ni nini umeleta hapa.
Badala ya stimulus sisi tumeamua kuvinyonya vivyo vilivyohitaji huo usaidizi na vingine kuhakikisha tunavizonga hats vijifie ama vifilisike.Mkuu mada yako ni fikirishi mno, ijapokuwa inahitaji tafakuri na ithibati za kiuchumi zaidi. Umefanya vyema kuainisha maeneo ya kimkakati ambayo yanaweza kuchochea mabadiliko chanya yenye muelekeo zaidi wa sera za kifedha.
Vichocheo vya kiuchumi yaani "stimulus packages" zinaweza kutumika kama njia ya majaribio ya kutaka kutumia sera ya kifedha (i.e. monetary policy) ktk kuchochea uchumi ikiwa kama njia ya kipekee, muhimu na yenye tija ya kuweza kuinusuru serikali kwa hivi sasa.
Serikali imeamua kukumbatia "fiscal policy" peke yake kwa kuwa naweza kusema haioni umuhimu wa sekta binafsi. BoT ni lazima ichukue na kisimama ktk sehemu yake ili iweze kuishauri vyema serikali. Wataalamu wa mambo ya fedha wanapaswa kuishauri serikali yetu vyema kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote toka awamu ya tano ilipoingia madarakani.
Wewe inawezekana hata unapopumua unajipinga kwanini unapumua ni hasara tupu; kwani ukiona watu wengi wamechangia hata bila mawazo tatuzi wewe unajiona umetoa wazo la maana kumbe wanakudharau. Wachache hata mmoja pekee mwenye mawazo ujenzi huyo ndio amewekeza kwa tija sio wewe debe tupu la maneno yasiyo na maana yoyote ile. Kila ukiwaza ni siasa uchwara ambazo zimekulevya hadi kuwa raibu na mtumwa wa pinga pinga na kosoa kosoa iliyojaa chuki binafsi kutokana na kuzibiwa mirija fisidi. Waachie intellectuals wachangia wewe kaa kimya tafadhali kuliko kujifanya mjuaji kwa kila kitu.
Rubbish..................Nilijua lazima utapanick, sio ww peke yako. Wako wenzako mpaka kuingia humu ndani hawataki, maana wamezoea kuja na mawazo ya kuburuza. Huku ndani utafurahi na taratibu utazoea. Hili ni jukwaa la kisiasa, huenda umeingia humu bila kujua maudhui ya huku ni ya kisiasa. Nahisi ww ni mzee, au kijana mshamba ndio maana hujui mijadala ya kwenye jukwaa la siasa inajadiliwa kisiasa.
Rubbish..................
Nikae sawa na umaamuma huo, hiki sio kichwa maji kama cha kwako usiyejielewa; it is you who will end up into stomach rush and diminish in thin air.Utakaa sawa tu, shida ni huu ugeni ulioingia nao kisha ukaja kwa pupa.
Nikae sawa na umaamuma huo, hiki sio kichwa maji kama cha kwako usiyejielewa; it is you who will end up into stomach rush and diminish in thin air.
Huku umeingia kwenye uwanja mpana, hicho unachokieelewa, humu ni kidogo sana. Humu kuna kila Eli kuanzia ya darasani, ya mtaani na kuzunguka dunia. Jitahidi tu usipanick ndio utapaeweza humu. Humu ndani kitakachokubeba sio ukubwa wa elimu yako, wala wingi wa hoja bali uvumilivu. Na sisi watu tunaojua kuwaprovoke vilaza mnaopanick wa aina yako huwa tunawapiga bao asubuhi na mapema.Nikae sawa na umaamuma huo, hiki sio kichwa maji kama cha kwako usiyejielewa; it is you who will end up into stomach rush and diminish in thin air.