Kukwama au kung'ang'ania kwenye ngono

damian marijani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2010
Posts
695
Reaction score
466
Leo MziziMkavu alipost video ya wapenzi waliokwama baada ya kungonoka. Katika mapitio yangu kujaribu kuelewa swala hili nikang'amua kuwa jambo hili lipo ingawaje ni nadra sana. Kitaalam huu mtafaruku unaitwa penis captivus au coitus captivus. Ripoti mbali mbali zimewekwa bayana na madaktari wachache na inatokana na misuli inayozunguka uke kukakamaa na kushikilia na kubana uume hadi kushindwa kuuchomoa. Wale wadadisi jaribu ku-google penis captivus then nenda kwenye Wikipedia utaona ripoti mbali mbali na chini kabisa kuna external link ya video ya Kenya ya njemba iliyokwama iko very explicit.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…