Kukwama kwa maombi ya mkopo wa elimu ya juu

Issakson makanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
731
Reaction score
1,158
Wandugu habarini,

Nina kijana alikuwa mnufaika wa mkopo apo S.U.A

Akakutana na changamoto baada ya mzazi kufariki akasitisha Masomo

Mwaka jana aka apply akapata tena apo S.U.A

Sasa changamoto iko kwenye kuomba tena mkopo
Aliambiwa alipe 25% ya deni lake la nyuma na ameshalilipa

Changamoto kupata control number kwa ajili ya fomu ya maombi ya mkopo

Mwenye kujua Amsaidie kijana

 
Nenda bodi ya mikopo fasta t
 
Wasiliana nao watakusaidia zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…