Kukwama kwa miradi mikubwa ya NHC kunaumiza, kunaliza kunasikitisha sana. Ni wazi Nehemia Mchechu alikuwa bora? kwanini Lukuvi na Jenista bado wapo?

kwa hiyo sasa nini kifanyike kuliko hela kuendelea kulala pale kwanini serikali isiwape hela hiyo miradi ikamalizwa?
I am not against serikali kumalizia hiyo miradi, it does make economic sense walau wapate chochote. Lakini huyo Nehemia usimpe sifa ambazo hastaili.

Kama ni hasara tayari washapata commonsense says watakuwa wana top up kila mwezi kwenye madeni ya NHC maana J.K aliiwekea mikopo yao guarantee ya serikali.

Sasa kwanini awaimalizii Dr Mpango na Dotto James watakuwa na majibu mazuri au waliopo sasa kwenye nafasi zao za awali ndani ya wizara ya fedha.

Last I know serikali iliweka kipaumbele kumalizia mradi wa NSSF kigamboni watu waamie, sina uhakika kama kumalizia miradi ya NHC plans zake na zenyewe zipo kwenye pipeline.
 
Hakuna jinsi nimlazima serikali iweke gurantee majengo yaishe suala la kuuzika na kupata wapangaji watapatikana tuu bei ikiwa adjusted kidogo lakini si sahihi kuacha magofu moroco na kawe.

Nyumba zkama za moroco nyingi zilishaanza kulipiwa sera tu za msukuma ndio ziliharibu mipango
 
Mbona watanzania waliweza kununua? kwa hiyo mradi umesitishwa na kutelekezwa kwakuwa bei ni 200mil?
Umeshaambiwa hiyo miradi ilijaa upigaji, ni kitu gani ambacho huelewi? ni watanzania wangapi wana weza kununua apartment ya mil. 200? kama wapo mbona yapo hapo yanapigwa vumbi? umetumwa.....au unaona hilo swala limekaliwa kimya ukafikiri watu wamesahau, tulieni mtanyolewa muda ukiwadia...
 
Real estate sasa iv ime fulia sanaaa mfano tu kuna jengo pale la pembeni moroco sijui lina floor kama 7 iv hamna wapangaji ...maofisi yana fungwa

Nakumbuka kuna siku William Lukuvi alisema wazi kuwa NHC wamalize miradi yote ya zamani kwanza ndio waanze mpya laakini toka 2015 miradi karibu yote imetelekezwa kabisa hakuna kinacho endelea na wasipo tekeleza mikataba hiyo ya ujenzi watalipa fidia kubwa sana.......
 
huu ndio ukweli kabisa ni bora kabisa serikali imalize hiyo miradi maana ikibaki hivyo ni hasara kubwa na watu waliweka hela zao..... swala la bei wanaweza kuziuza kulingana na mazingira na bei
 

Rushwa inatuletea madhila mengi sana. Hii ya NHC ni moja tu ya majanga mengi yanayosababishwa na rushwa. Mchechu aliliongoza vizuri shirika la nyumba kwa kuliamsha tena, ila alikuwa mpiga deals aliyeshindikana.
Naishauri serikali wapambane kumalizia ile miradi pamoja na kuwa ina changamoto. Kuiacha kwenye zile stage ni hasara kubwa isiyoweza kuelezeka.
Haya makosa yasijirudie tena. Tujifunze kuwajibika
 
Real estate sasa iv ime fulia sanaaa mfano tu kuna jengo pale la pembeni moroco sijui lina floor kama 7 iv hamna wapangaji ...maofisi yana fungwa
swala la kukosa wapangaji linaweza kuwa kweli kwakuwa hata swala la bei linamata sana lakini shirika linaweza kujirekebisha kwenye bei na mambo yakaenda vizuri........
lakini kuutekeleza mradi wakati umeshafika asilimia 80 ni ujinga mkubwa sana
 
kweli inaumiza sana miradi hii kuachwa hivi hivi hata kama kuna makosa yalijitokeza ni lazima imalizike kabisa.
 
Well walikopa kutekeleza hiyo miradi na madeni lazima yalipwe. Tatizo ata kabla miradi aijasimamishwa cash flow yao ilikuwa shida kulipa madeni.

Hizo ndio sababu za kutimuliwa kwa Nehemia, miradi yake ya awali iliyotakiwa kuchangia kulipa madeni aikujibu; nyumba nyingi walizojenga kwa sababu ya kuuza waliishia kupangisha halafu kwenye website yao wanaweka zimeuzwa zote na kupelekea shirika kuwa na ukwasi.

Alopotaka serikali imuwekee guarantee tena kwenye kukopa jamaa wakaona utani wake mmbaya.
 
swala la kukosa wapangaji linaweza kuwa kweli kwakuwa hata swala la bei linamata sana lakini shirika linaweza kujirekebisha kwenye bei na mambo yakaenda vizuri........
lakini kuutekeleza mradi wakati umeshafika asilimia 80 ni ujinga mkubwa sana
Kwa hiyo wale staff pale ninwajinga watoke ofisi mle tuweke AKILI mpya si ndio eh ?
 

Ni upuuzi wa hali ya juu na kukosa akili kuacha kufanya vitu ziuri kama hivi.Hasara hii nani analipa?Ndio maana tunaonekana watu weusi akili hatuna inahuzunisha sana kuona hela imepotelea hapo bila majibu ya kueleweka.
 
Ni bora mchechu angerudishwa NHC. Mpigaji lakini anaenda na wakati anaweza akasimamiwa vizuri na bodi na waziri

Kuna shida kubwa ya Low cost Housing vile vijumba kama vya Temeke mwembe yanga vinahitajika maana population yetu wengi ni vijana na hawana hela za kulipa kodi kubwa.
 
Mama Samia tunaomba umrudishe Nehemiah Msechu. Magufuli hakumpenda kwasababu hakuwa muimba mapambio na kuabudu. Kwa ukubwa wa IQ ya Nehemiah, ni wazi hiyo kazi asingefanya, aliwaachia kina Ndugai

Nehemiah Mchechu alikuwa mmoja wa vijana wa Mkwere katika kupiga hela kupitia mikopo toka benki za China!! Jiwe aliliona hilo ndio maana alimuondoa na akaweka uchunguzi ambao sijui uliishia wapi!!! Mkwere akipata nafasi anaweza akamrudisha mchechu pale ili wamalizie miradi yao!!

Lukuvi sasa hivi anapumua hata confidence yake kidogo imerudi kwani kwa Jiwe alikuwa amekalia kuti kavu; sidhani kama mwendazake angekuwepo angekuwa bado Waziri , ishara za kumchoka zilionekana wazi wazi!!!
 
Lukuvi mwanasiasa anaongea maneno mazuri lakini kuyatekeleza ndio mtihani. Bobishi bin magumashi. Majukwaani anaongea lakini utekelezaji ni hafifu.
 
Lukuvi mwanasiasa anaongea maneno mazuri lakini kuyatekeleza ndio mtihani. Bobishi bin magumashi. Majukwaani anaongea lakini utekelezaji ni hafifu.
LUKUVI AMESHINDWA KABISA
 
CHAMSINGI MIRASI IMALIZWE
 
hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…