Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
Kwa watu waliowahi kusafiri na treni ya umeme toka ianze safari zake watakubaliana na mimi kuwa kwa hakika ni mradi mkombozi katika safari za haraka.
Ticketi yako ikionyesha unatoka Morogoro saa 12:30 asbh na kufika Dsm saa 2:01asbh yaani unafika muda huo huo uliondikwa. No delaying!
Hii kwama kwama ya mara kwa mara inaweza kutoa taswira mbaya sana kwa wafanyakazi wa treni hii.
Katika shirika lililotakiwa kuwa makini sana basi TRC walitakiwa kuwa macho muda wote kwasababu wanawashindani wengi kibiashara na wenye nguvu ambao wanaweza kutumia mbinu yoyote kuhujumu shirika hili.
Watanzani tuweni seriasi katika kusimamia vitu vyenye maendeleo kwa nchi yetu hakuna mtu atakuja kutuendelezea hii nchi