Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Hujuma gani ? Maana always ni issue gird taifa....sio ngedere wala bundi anymore...tujipange na Grid yeru hakuna mchawi hapoooKwa watu waliowahi kusafiri na treni ya umeme toka ianze safari zake watakubaliana na mimi kuwa kwa hakika ni mradi mkombozi katika safari za haraka.
Ticketi yako ikionyesha unatoka Morogoro saa 12:30 asbh na kufika Dsm saa 2:01asbh yaani unafika muda huo huo uliondikwa. No delaying!
Hii kwama kwama ya mara kwa mara inaweza kutoa taswira mbaya sana kwa wafanyakazi wa treni hii.
Katika shirika lililotakiwa kuwa makini sana basi TRC walitakiwa kuwa macho muda wote kwasababu wanawashindani wengi kibiashara na wenye nguvu ambao wanaweza kutumia mbinu yoyote kuhujumu shirika hili.
Watanzani tuweni seriasi katika kusimamia vitu vyenye maendeleo kwa nchi yetu hakuna mtu atakuja kutuendelezea hii nchi
Hitilafu umeme ......amgefukuza woote saaa then what...??JPM angekuwepo angeondoka na mtu.
Ubaya ni kwamba, wenye mamlaka na wapigaji wote huwa hawadhani kuwa wao ni "wa hapa hapa"Watanzani tuweni seriasi katika kusimamia vitu vyenye maendeleo kwa nchi yetu hakuna mtu atakuja kutuendelezea hii nchi
Hii ya juzi inahusiana na gridi ya Taifa?Hujuma gani ? Maana always ni issue gird taifa....sio ngedere wala bundi anymore...tujipange na Grid yeru hakuna mchawi hapooo
Sababu za kiufundi....!!Hii ya juzi inahusiana na gridi ya Taifa?
Kwa watu waliowahi kusafiri na treni ya umeme toka ianze safari zake watakubaliana na mimi kuwa kwa hakika ni mradi mkombozi katika safari za haraka.
Ticketi yako ikionyesha unatoka Morogoro saa 12:30 asbh na kufika Dsm saa 2:01asbh yaani unafika muda huo huo uliondikwa. No delaying!
Hii kwama kwama ya mara kwa mara inaweza kutoa taswira mbaya sana kwa wafanyakazi wa treni hii.
Katika shirika lililotakiwa kuwa makini sana basi TRC walitakiwa kuwa macho muda wote kwasababu wanawashindani wengi kibiashara na wenye nguvu ambao wanaweza kutumia mbinu yoyote kuhujumu shirika hili.
Watanzani tuweni seriasi katika kusimamia vitu vyenye maendeleo kwa nchi yetu hakuna mtu atakuja kutuendelezea hii nchi
Ubaya ni kwamba, wenye mamlaka na wapigaji wote huwa hawadhani kuwa wao ni "wa hapa hapa"
Busy kuharibu mipango na maendeleo ya kweli kwa umma ili wajaze matumbo yao.
Ajabu sasa, wanajipelekaga kutibiwa nje huko, wanarudishwa kama CARGO tu!
TRC kufeli kwenye SGR ni ishara wazi jinsi gani UTAWALA ulivyofeli kusimamia mambo ya msingi na yaliyoligharimu taifa!
- Kataeni mkubali, upuuzi huu usingekuwepo enzi zile.
Hii ya juzi inahusiana na gridi ya Taifa?
Sababu za kiufundi....!!
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."