Kukwama kwenye kufungua Account ya kuomba mkopo wa elimu ya juu HESLB

Astro world

Member
Joined
Sep 3, 2020
Posts
7
Reaction score
1
Habarini za kazi wadau!

Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini haikubali bado inaendelea kuload na mtandao unakuta uko vizuri kabisa! Mwenye uelewa kwenye hili anisaidie please.

Ahsante!
 
Bodi ya mikopo kea safari hii ni tatizo hawapo vizuri na mfumo wao wa maombi ni shida tupu...tofauti na mwaka jana
 
Dah! Yan mwaka huu ni shida kote mi hadi RITA kwenye kipengele kile cha ku attach chet kinagoma kabisa
 
Habarini za kazi wadau!

Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini haikubali bado inaendelea kuload na mtandao unakuta uko vizuri kabisa! Mwenye uelewa kwenye hili anisaidie please.

Ahsante!
vp mkuu ulifanikiwa ?
 
Tarehe hizo bado walikuwa hawajaruhusu mfumo kufanya kazi,ila kwa sasa iko ok
 
Back
Top Bottom