Astro world
Member
- Sep 3, 2020
- 7
- 1
Bodi ya mikopo kea safari hii ni tatizo hawapo vizuri na mfumo wao wa maombi ni shida tupu...tofauti na mwaka janaHabarini za kazi wadau!
Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini haikubali bado inaendelea kuload na mtandao unakuta uko vizuri kabisa! Mwenye uelewa kwenye hili anisaidie please.
Ahsante!
Dah! Yan mwaka huu ni shida kote mi hadi RITA kwenye kipengele kile cha ku attach chet kinagoma kabisaBodi ya mikopo kea safari hii ni tatizo hawapo vizuri na mfumo wao wa maombi ni shida tupu...tofauti na mwaka jana
vp mkuu ulifanikiwa ?Habarini za kazi wadau!
Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini haikubali bado inaendelea kuload na mtandao unakuta uko vizuri kabisa! Mwenye uelewa kwenye hili anisaidie please.
Ahsante!
vp mkuu ulifanikiwa ?Habarini za kazi wadau!
Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini haikubali bado inaendelea kuload na mtandao unakuta uko vizuri kabisa! Mwenye uelewa kwenye hili anisaidie please.
Ahsante!
Kwani kuna sehemu ya ku attach cheti au unaweka tu verification no?Dah! Yan mwaka huu ni shida kote mi hadi RITA kwenye kipengele kile cha ku attach chet kinagoma kabisa
Tarehe hizo bado walikuwa hawajaruhusu mfumo kufanya kazi,ila kwa sasa iko okHabarini za kazi wadau!