Simplelady
Member
- Oct 26, 2009
- 44
- 22
Kunywa juice ya karoti na ya mchicha wa kienyeji.
Hii inasaidia zaid katika kuzuia tatizo au nakosea?
Macho yakishaharibika na kufikia kiwango cha kuhitaji msaada WA MIWANI huna jinsi.Ukitaka kukwepa kuvaa miwani basi unahitaji kufanyiwa laser surgery.... ila hii operation ni delicate na ni recent development haina hata miaka 15 toka ianze kufanyika na hivyo haijulikani madhara yake kwa zaid.
Nami pia nina tatizo hilo. Nimeshajaribu karoti na mchicha, sikuona mafanikio yoyote. Ni kama anavyosema Mkuu Vera, hii inasaidia kuzuia tatizo, sio kutibu.Kunywa juice ya karoti na ya mchicha wa kienyeji.
Wenye idea ya huyo Dr. tuambizane jamani , maana sipendi kweli kuvaa miwani.Nami pia nina tatizo hilo. Nimeshajaribu karoti na mchicha, sikuona mafanikio yoyote. Ni kama anavyosema Mkuu Vera, hii inasaidia kuzuia tatizo, sio kutibu.
Hivi jamani nimeshamsikia Dr. Ndodi, yule wa Magomeni, akisema anaweza kutibu shida ya macho na usitumie miwani tena. Ni kweli? Wenye taarifa zaidi watupashe.
ntapata wapi mchicha wa kienyeji?kunywa juice ya karoti na ya mchicha wa kienyeji.
Hivi jamani kuna dawa ya kusafisha macho yaweze kuona vizuri hasa mbali bila kutumia miwani.