Ok, katika jukwaa la mambo ya kikubwa hii mp3 ulioiweka iliwekwa na kutokana na michango ya watu kuonekana ni ya kejeli kwa Rais JK, basi thread husika ilifungwa! Na kwasasa imeondolewa nadhani! Sasa wewe umeiweka tena katika jukwaa la vichekesho!waweza fafanua tafadhari.