Kila kitu kina heshima yake na kila kiungo cha mwili wa binadamu Mwenyeezi Mungu kakipangia kazi yake Haipendezi kabisa kula chakula huku umesimama. Ni sawasawa Mtu anayekula chakula huku anautumia Mkono wake wa kushoto kulia chakula wakati mkono wake wa kulia ni mzima kabisa pia haipendezi kabisa. mkuu Boflo Tumia akili yako .Wadau mm nimezoea kula chakula huku nimesimama (breakfast,lunch, dinner)..
Sipendi kabisa kukaa....Kuna madhara yoyote?? Your advice plz
MziziMkavu karibu utoe uganga wako
Chakula gani?
Kila kitu kina heshima yake na kila kiungo cha mwili wa binadamu Mwenyeezi Mungu kakipangia kazi yake Haipendezi kabisa kula chakula huku umesimama. Ni sawasawa Mtu anayekula chakula huku anautumia Mkono wake wa kushoto kulia chakula wakati mkono wake wa kulia ni mzima kabisa pia haipendezi kabisa. mkuu Boflo Tumia akili yako .
Lakini ningelikushauri bora ule chakula huku umekaa itakuwa ni jambo bora kabisa kuliko kula huku umesimama BofloKama issue ya heshima....Bora niendelee tu.....Kungekuwa na madhara ningeaza mkakati wa kuacha
Asante MziziMkavu kwa kunitoa wac
tafuta mke uoe..ukshakuwa na familia tabia yako ya kula umesimama itakoma....imagine una mke na watoto afu unatengewa msosi mezani wenzio wamekaa we unakula umesimama hata mwanao wa kindergaten atashindwa kukushangaa..