Kula Chakula nyumbani.

ha hahaaaaaaaaa swty umeambiwa si kula wali na maharage lol

hapa wenzio wanaongelea kula tunda la uzima!!!!!!!!!!

hahhaha kumbee!!mi nilijua chakula..
afu namshukuru kweli mtoa mada
bila yeye leo nisingetoka lunch.
 
Mie sipendi kula chakula peke yangu bila my husband. Na kama siwi nae karibu ktk mlo basi uwaga ile ham ya kula inakuwa sina.
Ile kumuona my husband anaenjoy chakula nami kuna raha yake ya peke.
Mwanamke lazma ujue mume wako kala wapi na kala nini, akiumwa tumbo je?
sie wanawake tunahofie waume zetu wasile kwa mwanamke mwingine zaidi yetu, ukitoa mama ake mzazi, sister na jamaa.
 
kama jamvi la kihuni na wewe kaa kihuni vilevile!!! sasa utaanyaje?

Sisi wengine uhuni hatuuwezi. Vilevile sidhani kama hilo ndilo lilikuwa lengo la JF kueneza uhuni.
 
Sasa kama mwanaume hawezi/hapendi kula nyumbani ni kwa nini anaweka chakula nyumbani? anataka nani ale? kama anajijua hapendi kula nyumbani basi aende kula huko anakujua na asilalamike akikuta chakula cha nyumbani kimeshaliwa.
 

Kwa hiyo tuseme cha kujali ni wapi unakula wala si kule unapopata hamu ya kula, sio?
 
Japo sijui ya ndoani, bt naamini kama umeoa kula nyumbani ni kanuni. Maana mwenyewe kupika ishu so kama mtu kapika nini tena zaidi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…