Ahsante kwa kunitia moyoUwezekano wa kuambukizwa virusi vya UKIMWI kwa kunyonyana ndimi ni mdogo sana. Kwa kubadilishana mate wakati wa kubusiana tu, haiwezekani maambukizo ya virusi vya UKIMWI kutokea. Lakini kama mmoja kati ya wapenzi ana vidonda au michubuko mdomoni, uwezekano wa kuambukizana huongezeka.