Kula denda na mtu mwenye ukimwi naweza pata ukimwi?

Kula denda na mtu mwenye ukimwi naweza pata ukimwi?

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
613
Reaction score
791
Waungwana leo nimeufya nimekutana na hili JANGA sasa vijana wenzangu hapa baada ya bint mwenyewe kunieleza ukweli na kunionesha Card ya Clinik ndipo nimeamini ila ndio wakati nimeshaanza maandalizi tayari. Puresha ikapanda ila sasa baada ya kanceling ndio kidogo imepoa.

Sasa nauliza naweza pata Ukimwi???
 
Uwezekano wa kuambukizwa virusi vya UKIMWI kwa kunyonyana ndimi ni mdogo sana. Kwa kubadilishana mate wakati wa kubusiana tu, haiwezekani maambukizo ya virusi vya UKIMWI kutokea. Lakini kama mmoja kati ya wapenzi ana vidonda au michubuko mdomoni, uwezekano wa kuambukizana huongezeka.
 
Ahsante kwa kunitia moyo
 
Kuna kipimo kipya bado kuanza kutumika, Ukimwi utakuwa unajipima mwenyewe kwa kutumia mate.
Usiogope ndugu
 
Sana tu. Ulishaambiwa usishiriki Kawasaki, matemate na mwathirika. Unao my frnd
 
Ndio inawezekana. Jifunze sasa sio kila kitu ni cha kuonja onja tu.
 
Back
Top Bottom