Kula Hela ya Mtu Anaetafuta kwa Shida sana Halafu Unamnyima Mchezo ni Roho Mbaya

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Rafiki yangu kamchukua bajaji anaemtakaga eti ampeleke Tabata Segerea kwa boyfriend bure. Nikamuuliza yani unataka kaka wa watu akupeleke sehemu ya elfu 20 bure kisa tu anakutaka akasema eeeh akome kutongoza asivyoviweza. Nikamwambia aone haya kidogo na huruma maana hiyo unaweza kuta ndo anajazia apeleke hesabu kwa boss akacheka akaondoka tena anasema akifika huko njiani akiona vitu atamwambia amnunulie pia.

Nimumeonea huruma dereva wa watu maskini maana atakua anatumika hivyo hivyo na tamu tamu hatapewa. Kuna watu wakuwalia hela zao hata kama humtaki ila sio dereva wa bajaj halafu hata kumpooza hamna. Ndo maana wanaume huwa wanatuua wakati mwingine wakijua mwanamke anacheat maana wanatafuta kwa nguvu kutuhudumia halafu tunawasaliti.

Wanawake wenzangu ukiona mtu ana kipato chake kidogo na anakipata kwa tabu usile hela yake wapo watu kibao wapigaji na wanafanya kazi nzuri tuwalieni hao.
 
When sex is the be-all-and-end-all of life, the end will almost definitely be ugly.

Nevertheless, in a lot of ways sex is way overrated.

Living without putting much stock in it, without bending over backwards for it, without compromising your principles and humanity, and without selling your soul for a mess of pottage is very possible.

But that requires a certain level of self-consciousness and a tremendous amount of will power. It’s very doable.
 
ndio maana tukitunukiwa tunakunywa cidenafil
 
leo umeongea jambo la msingi sana ila acha tu mtulie hizo pesa maana vilanga vinatusumbua sana....
Kweli kiranga. Sema mi naona huruma yani. Kuna watu wana hela zao nyingii wanatupa kidogo na game wanapata. Hawa wengine wanatoa kidogo ila cha thamani sana na bado game tunawabania
 
Never siwezi kutoa fedha yangu sehemu nisiyopata papuchi toa papuchi nikupe hela hutaki baki na papuchi yangu nami ntabaki na dushelele langu sabuni inatosha[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Kweli kiranga. Sema mi naona huruma yani. Kuna watu wana hela zao nyingii wanatupa kidogo na game wanapata. Hawa wengine wanatoa kidogo ila cha thamani sana na bado game tunawabania
VILANGA vinatuponza....ila na nyie huwa mnatuweka pending yakiwashinda pote huwa mnarudi kwa hawa ambao mnawalia tuuuu bila kuwapa mti wa kati...
 
When sex is the be-all-and-end-all of life, the end will almost definitely be ugly.

Nevertheless, in a lot of ways sex is way overrated.

Living without putting much stock in it, without bending over backwards for it, without compromising your principles and humanity, and without selling your soul for a mess of pottage is very possible.

But that requires a certain level of self-consciousness and a tremendous amount of will power. It’s very doable.
Sijaelewa [emoji52]
 
Back
Top Bottom