Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Nimebahatika kupata mdada huko nyuma alishawahi kuolewa akapata watoto wawili. Ni muda mrefu hajapata ujauzito. Mimi pia nataka nimjaze fasta. Mitaani wadau huwa wanadai karanga mbichi huwa ziongeza sperm count hivyo kusadia uja uzito.
Wadau wa shoo za ukweli hivi ni kweli karanga mbichi huwa zinasaidia?
Wadau wa shoo za ukweli hivi ni kweli karanga mbichi huwa zinasaidia?