Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kwani mimba inatunga kama usaha au kama kutunga wimbo na hadithi??Ngoja kwwnza, kwani uko na tatizo la kutungisha mimba Mkuu?
Hebu nyoosha maelezo usaidiwe,utakuwa na tatizo la uzazi Ila unaogopa kuwa straight!Sijawahi kuprove kwa hospital. Ila ni suala la kuongeza sperm count tu.
Tatizo la uzazi linajulikana ukipimwa hospita..mimi hofu yangu ni kuwa nina low sperm count maana napiga mitungi sana.
Si unaona leo pombe inakufanya ushindwe kuijaza papuchi haki yake hadi unakuja kuomba ushauri wa karanga mbichi.,Acha kudharau pombe wewe.
Mtu achomoe mimba yangu???Bro bado, kuna dada nilishawahi kukaa nae akaondoka kwa hasira akadai alienda kuchomoa.
Jibu swaliNani kasema yeye? Unajua kusoma?
Mtu achomoe mimba yangu???
Namuua nayeye
Wanachomoa na unaweza usiambiwe au unaambiwa baadaye ya miaka 20 kupita,mwenzio niliishi na Mdada mmoja alichomoa bila kunishauri,baada ya miaka 20 ndio tunakutana ananitaarifu.Mtu achomoe mimba yangu???
Namuua na yeye
HayaUsinichanganye.
Uyo mwanamke mlishakubaliana kama unataka kuzaa nae??Isije kuwa mwezio kaeka kijiti au kachoma sindano🤣🤣we unajichosha tu.Nimebahatika kupata mdada huko nyuma alishawahi kuolewa akapata watoto wawili. Ni muda mrefu hajapata ujauzito. Mimi pia nataka nimjaze fasta. Mitaani wadau huwa wanadai karanga mbichi huwa ziongeza sperm count hivyo kusadia uja uzito.
Wadau wa shoo za ukweli hivi ni kweli karanga mbichi huwa zinasaidia?
Wakati mwingine mimba kunasa, ni hadi mwanamke apende mwenyewe