Kula ki masihara kulivyo nisababishia maumivu yasiyo pona no.1

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3581]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimelazimika ku forward>> sababu ya muda

Sasa tukaanza kulana wenyewe palee kila style tulikulana mpaka tukashibana kabisa sasa ikabidi tupumzike na kuzuga kwenye movie na vinywaji mbalimbali vikiwa mezani.

Wakati tunafurahi kuwa pamoja na kufurahia kinywaji nikawa najiuliza hivi kweli Waridi kwa uzuri wake yupo single kweli?? Ikiwa amenitoa Dar mpaka Geita kwa gharama zake ina mana hapa hakuna kidume kilichowahi kuingia humu ndani? Kabla sijapata jibu simu yake ikaita lakini hakupokea...nikamuuliza ni nani huyo anasumbua usiku huu? Kabla hajajibu mara paa...!!! Nikasikia hodi mlangoni sauti ilikua ya kiume kidume niliogopa sana kama mnavyojua ugenini tena sina mwenyeji nayemjua

Nikamuuliza kabla ya kufungua niambie ni nani Waridi alianza kutetemeka kwa hofu mimi nikiwa sina la kufanya...kabla sijapata jibu la cha kufanya Waridi akaniambia panda darini ujifiche...nilikua na awas was sana nikapanda juu na Waridi akafungua mlango.

Baada ya kufungua mlango tu.... MWINGINE AMALIZIE MUDA WANGU UMEISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kupanda kwenye dari, waridi alimfungulia Mme wake na kumpokea kwa kumkumbatia nilishtuka baada ya kugundua Mme wake ni kiongozi mkubwa wa wizara nyeti serikalini,
Nilikaa juu darini kwa siku tano mfululizo bila kula wala kunywa,njaa iliponizidia nikaona isiwe tabu liwalo na liwe na kama mbaya acha iwe mbaya,wakati najiandaa kushuka ghafla nilisikia sauti ya waridi akilia kwa kupigwa huku akiambiwa mm ni nani na nimejificha wapi(kumbe Mme wa warid alijua kama nipo ndani kupitia CCTV camera za siri zilizopo ndani?..

Kutokana na kipigo kua kikali warid aliamua kumwambi Mme wake kua nipo darini,Mme wake aliwapigia cm mabodigadi wake watatu wakaja na kunitoa kwenye Dari,walinipiga sana hadi nikapoteza fahamu na walienda kunitupa porini..
..

N.B MWINGINE AMALIZIE ILI HUYU ALIEACHA KUMALIZIA STORY YAKE APATE ADABU..haiwezekan tutumie muda wetu kumfatilia alaf aishie njiani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaahaa wee fala sana isee
Nilipofika mwisho ndio nikajua sio mleta story[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ndio JF bhana raha juu ya raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu kumbe ndio maana una maumivu yasiyo isha[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu anakaa kimya muda mrefu kumbe anatunga cha kuendelezea maana kama ipo kichwani( ilitokea) si angeishaimaliza?!!!
Kweli chai...
 

🤣🤣
 
Huyu chalii akija atakoma akiikuta story yake imeshakwisha,watu hawapendagi ujinga aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…