Nashukuru sana kiongozi kwa ufafanuzi mzuri.Heshima kwako Mkuu.
Hilo swala halina UKWELI hata chembe. Hakuna Ukweli wowote. Hizo ni kelele za mitandaoni tu zisizo na uhalisia wowote.
Ndizi ambayo ina madini mengi ya Potassium na Carbohydrates, haiwezi kutengeneza sumu mwilini ikitumiwa pamoja na mayai yenye vitamini aina nyingi ( A, B, D na E).
Nikukumbushe tu kuwa, kama ingelikuwa kweli inatengeneza sumu ya kuua basi vingeshatokea vivo Vinci vya watu. Kuna keki Maalum ambapo hutengenezwa kwa mchanganyo wa ndizi, mayai na makorokocho mengine. Ingeshamaliza watu.
Kula kwa raga mustarehe.
Hahahahaaa haupo serious kaka, kama watu wanasema ukila pamoja unakufa unataka niwe mfano?Mkuu huwezi pata majibu mazuri humu labda mpaka ujaribu mwenyewe.
Cc: Dr. Sajjad FazelHabari ndugu wadau?, niende kwenye mada: nimekuwa nikisikia sehemu tofauti tofauti kuhusiana na swala la kula mayai na ndizi kwa wakati mmoja kuwa linaweza kusababisha kifo kwa mlaji, jambo ambalo linanishangaza ukizingatia na ukiangalia kwa mtazamo wa juu juu kuwa hivi vyote ni vyakula sasa iweje ukila kwa pamoja usababishe kifo?, wadau naomba mnifungue macho ni kwanini kifo hutokea kwa mlaji? Karibuni wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula sasa ivi tuone labda kipindi kile ulikuwa na Immunity kubwaNikiwa shule ya boarding nilifukia sana ndizi mbivu na mayai ya kuchemsha. Niko nadunda mpaka sasa hivi miaka kibao ishapita.
Sent using Jamii Forums mobile app
ushangilie ndizi mbivu zina gesi,mayai yakuchemsha hali kadhalika huwa na gesi .
Nitaleta mrejesho.Kula sasa ivi tuone labda kipindi kile ulikuwa na Immunity kubwa