Kula nyama sana kunasababisha kutoa ushuzi unaonuka?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Wakuu wa humu mko vizuri?

Ebana jana kulikua na sherehe somewhere ya jamaa yangu, yani me toka asubuhi ilikua ni nyama na pombe tu.

Sasa leo nimeamka, kila nikijamba natoa shuzi linanuka sio poa.

Hivi kuna uhusiano wa kula nyama na kujamba mashuzi yanayonuka kiasi hiki?
 
Wakuu wa humu mko vizuri?
Ebana jana kulikua na sherehe somewhere ya jamaa yangu..yani me toka asubuhi ilikua ni nyama na pombe tu..
Sasa leo nimeamka,kila nikijamba natoa shuzi linanuka sio poa.

Ndio umeanza kula nyama na pombe kwenye sherehe?!,Tuanzie hapo kwanza.
 
Wakuu wa humu mko vizuri?
Ebana jana kulikua na sherehe somewhere ya jamaa yangu..yani me toka asubuhi ilikua ni nyama na pombe tu..
Sasa leo nimeamka,kila nikijamba natoa shuzi linanuka sio poa.
Hivi kuna uhusiano wa kula nyama na kujamba mashuzi yanayonuka kiasi hiki?
Kula nyama + Pombe = Kujamba (Sorry mkuu hauhisi maumivu yoyote kalioni?)
 
Wakuu wa humu mko vizuri?

Ebana jana kulikua na sherehe somewhere ya jamaa yangu, yani me toka asubuhi ilikua ni nyama na pombe tu.

Sasa leo nimeamka, kila nikijamba natoa shuzi linanuka sio poa.

Hivi kuna uhusiano wa kula nyama na kujamba mashuzi yanayonuka kiasi hiki?
Ndio nyama ina protini nyingi na kama ilivyo mayai nyama ina madini ya sulphur kwa wingi. Protini hii inapomeng’enywa hutoa gesi ya sulphur dioxide kama byproduct hiyo gesi ndio hunuka.
 
Ulikuwa na wanaume wenzio? Ulikuwa hivyo? Ukijamba unahisi unyevunyevu? Nijibu kwanza maswali hayo then nitapata picha kamili nini nikushauri.
 
Back
Top Bottom