kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Ndio umeanza kula nyama na pombe kwenye sherehe?!,Tuanzie hapo kwanza.Wakuu wa humu mko vizuri?
Ebana jana kulikua na sherehe somewhere ya jamaa yangu..yani me toka asubuhi ilikua ni nyama na pombe tu..
Sasa leo nimeamka,kila nikijamba natoa shuzi linanuka sio poa.
Hivi kuna uhusiano wa kula nyama na kujamba mashuzi yanayonuka kiasi hiki?
unataka kutibu mashuzi ya watu utayaweza..? we jisogeze karibu na kakifo shauli yako😀😀hebu tuma hiyo harufu tuingie maabara
Kula nyama + Pombe = Kujamba (Sorry mkuu hauhisi maumivu yoyote kalioni?)Wakuu wa humu mko vizuri?
Ebana jana kulikua na sherehe somewhere ya jamaa yangu..yani me toka asubuhi ilikua ni nyama na pombe tu..
Sasa leo nimeamka,kila nikijamba natoa shuzi linanuka sio poa.
Hivi kuna uhusiano wa kula nyama na kujamba mashuzi yanayonuka kiasi hiki?
😅😂 itakuwa walikula nyamafu hao😀😀hebu tuma hiyo harufu tuingie maabara
Ndio nyama ina protini nyingi na kama ilivyo mayai nyama ina madini ya sulphur kwa wingi. Protini hii inapomeng’enywa hutoa gesi ya sulphur dioxide kama byproduct hiyo gesi ndio hunuka.Wakuu wa humu mko vizuri?
Ebana jana kulikua na sherehe somewhere ya jamaa yangu, yani me toka asubuhi ilikua ni nyama na pombe tu.
Sasa leo nimeamka, kila nikijamba natoa shuzi linanuka sio poa.
Hivi kuna uhusiano wa kula nyama na kujamba mashuzi yanayonuka kiasi hiki?
Mengine ni kama mabomu 🤣🤣🤣unataka kutibu mashuzi ya watu utayaweza..? we jisogeze karibu na kakifo shauli yako
Daah nimecheka kipuuzi sana hii comment 😂😀😀hebu tuma hiyo harufu tuingie maabara