Kula sana kupita kiasi husababishwa na nini?

Kula sana kupita kiasi husababishwa na nini?

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Wana jamii wenzangu, za kazi.

Nimekuwa na tatizo la kula kupita kiasi na bila kushiba. Nimepima minyoo lakini sina. Na nimerudia mara kwa mara niko sawa tu.

Hali hii inaninyima raha. Huwa sihisi njaa sana lakini nikikikutia chakula hata kwa jirani ukweli ni kuwa lazima nile.

Nifanyeje na hili tatizo husababishwa na nini?Naomba mwongozo wenu.

Ndugu yenu kutoka Ruvuma
 
Huenda pitia kipindi cha stress, angalia tu uzito wako lakini mwili wa binadamu ni rahisi kujirudisha katika normal state of equilibrium mambo yakitulia
 
Upate chakula mwili unapenda au nafisi, pia ulaji wako sio gojwa bali upungufu wa mlokamili..
 
"...Nimekuwa na tatizo la kula kupita kiasi na bila kushiba"

Kwa hiyo mkuu hata ule sahani kumi za pilau na ndizi hushibi tu??
 
huenda unafanya kazi za nguvu sana au unafanya sana mazoezi.
 
Daaah kuna jamaa nilikutana nae mgahawani usiku ameagiza chapati 8 na maharagwe na chai na alizimaliza na akanicha na chapati zangu 3...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu wanakula jamani...,
 
Mimi mwenyewe ni hatari kwa kula .. Ukinitoa out utajuta nabakiza mifupa tu ... Hakuna kutoa hela alafu mbwembwe unashika shika tu chakula unaacha alaaaaa!
 
Mkuu ujasema unakula kiac gani, usije kusema unakula sana kumbe unakula kawaida sanaaa kulingana na kazi na mazingira uliyopo.

Sema kwanza upo wapi, umri, kazi, unakula mara ngapi, na unakula sana vyakula vyote au baadhi ya vyakula?
 
Pole mwaya! Anything in too much is harmful! Hiyo Hali yaweza kusababishwa mambo kadha wa kadha ikiwemo hiyo minyoo , stress n.k ! Pia yaweza kuwa ni dalili mojawapo ya mgonjwa wa kisukari, n.k Kwa hiyo nakushauri ukamwone daktari kwaajili ya uchunguzi zaidi!
 
Wana jamii wenzangu, za kazi.

Nimekuwa na tatizo la kula kupita kiasi na bila kushiba. Nimepima minyoo lakini sina. Na nimerudia mara kwa mara niko sawa tu.

Hali hii inaninyima raha. Huwa sihisi njaa sana lakini nikikikutia chakula hata kwa jirani ukweli ni kuwa lazima nile.

Nifanyeje na hili tatizo husababishwa na nini?Naomba mwongozo wenu.

Ndugu yenu kutoka Ruvuma
Fanya hivi , kama unampenzi na unampenda sana? Siku moja muite alafu mtukukane bila sababu na nyodo nyingi alafu akimbie, hamu ya kula na kuhisi njaa kwisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
 
Kula tu man usiwaze
Ila kwa ushauri nenda kapime sukari
 
Kula tu man usiwaze
Ila kwa ushauri nenda kapime sukari
 
Wana jamii wenzangu, za kazi.

Nimekuwa na tatizo la kula kupita kiasi na bila kushiba. Nimepima minyoo lakini sina. Na nimerudia mara kwa mara niko sawa tu.

Hali hii inaninyima raha. Huwa sihisi njaa sana lakini nikikikutia chakula hata kwa jirani ukweli ni kuwa lazima nile.

Nifanyeje na hili tatizo husababishwa na nini?Naomba mwongozo wenu.

Ndugu yenu kutoka Ruvuma
kuna baadhi ya maradhi huweza kupelekea shida kama hizi,ambayo huathiri mfumo unaoitwa "endocrine system" ,kama vile hyperthroidism,hali husababisha mifumo mingi mwilini huongezeka utendaji kazi wake na hamu ya chakula pia huongezeka,tatizo hili linaitwa kitaalamu 'hyperthyroidism'
Vilevile kisukari ,kisukari kinatabia hii pia,mafano ni 'DM type 2,'pamoja na mgonjwa uzito wa mwili kupungua 'muscle wasting' lakini hamu na utaratibu wa ulaji huongezeka.
Nenda kwa wataalamu,Hospital watakusaidia.
 
Je unafanya kazi gani?, una umri gani, una uzito gani? Na urefu je? Zingatia kwenda kumwona daktari physician Kwa uchunguzi zaidi kisha uje na Uzi wa mrejesho tafadhali! Usipiuuze kumuona daktari kuwahi kuna faida nyingi!
 
Back
Top Bottom