Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Fanya hivi , kama unampenzi na unampenda sana? Siku moja muite alafu mtukukane bila sababu na nyodo nyingi alafu akimbie, hamu ya kula na kuhisi njaa kwisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]Wana jamii wenzangu, za kazi.
Nimekuwa na tatizo la kula kupita kiasi na bila kushiba. Nimepima minyoo lakini sina. Na nimerudia mara kwa mara niko sawa tu.
Hali hii inaninyima raha. Huwa sihisi njaa sana lakini nikikikutia chakula hata kwa jirani ukweli ni kuwa lazima nile.
Nifanyeje na hili tatizo husababishwa na nini?Naomba mwongozo wenu.
Ndugu yenu kutoka Ruvuma
kuna baadhi ya maradhi huweza kupelekea shida kama hizi,ambayo huathiri mfumo unaoitwa "endocrine system" ,kama vile hyperthroidism,hali husababisha mifumo mingi mwilini huongezeka utendaji kazi wake na hamu ya chakula pia huongezeka,tatizo hili linaitwa kitaalamu 'hyperthyroidism'Wana jamii wenzangu, za kazi.
Nimekuwa na tatizo la kula kupita kiasi na bila kushiba. Nimepima minyoo lakini sina. Na nimerudia mara kwa mara niko sawa tu.
Hali hii inaninyima raha. Huwa sihisi njaa sana lakini nikikikutia chakula hata kwa jirani ukweli ni kuwa lazima nile.
Nifanyeje na hili tatizo husababishwa na nini?Naomba mwongozo wenu.
Ndugu yenu kutoka Ruvuma
Cc:Bujibuji![emoji4][emoji4][emoji4]Huenda pitia kipindi cha stress, angalia tu uzito wako lakini mwili wa binadamu ni rahisi kujirudisha katika normal state of equilibrium mambo yakitulia