Kula udongo lazima uwe na mimba??

Kula udongo lazima uwe na mimba??

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Naomba mnijibu hili swali kuhusu wanawake wanaokula udongo ,je ni kwa wale wenye mimba tuuu! Au ni huwa wanakula tu kama pipi kwa hamu zao wenyewe?

Naomba mnijibu hasa nyie wanawake wa jamiii forum ambao najua mnajua mengi.
 
Si lazima...me nakula udongo vibaya mno,tena umentamanisha hapa umeniishia.....

Hata school tulikua tunabandua ule wa kune mti wenye mchwa....asee mate yamenijaa dah..
 
Duh!sasa huo udogo huwa hauna vimichanga?
Unao ila wenye vimchanga vingi sio mtamu sana....
Kuna ule hauna vimchanga mlainiiii una vumbi vumbi tu dah...
Ila huo ni wa kune mti...

Kuna ile pemba ya dukani sa dah asee...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Naomba mnijibu hili swali kuhusu wanawake wanaokula udongo ,je ni kwa wale wenye mimba tuuu! Au ni huwa wanakula tu kama pipi kwa hamu zao wenyewe?

Naomba mnijibu hasa nyie wanawake wa jamiii forum ambao najua mnajua mengi.
Wengine tena wanatafuna Mkaa sio udongo pekee,, yaani ukileta gunia LA mkaa ndani utaona MTU abafurahia kumbe furaha ya kutafuna mkaa.
 
Hamu tu mkuu...ila wanasema eti ni ukosefu sijui wa madini gani huko idk...

Hata chaki nazo zina utamu wake,harufu ya kerosene,mkaa kwa mbali[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mhmmmm bhasi hili ni tatizo la kidaktari si ndio hivyo??
 
Back
Top Bottom