jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Duh!sasa huo udogo huwa hauna vimichanga?Si lazima...me nakula udongo vibaya mno,tena umentamanisha hapa umeniishia.....
Hata school tulikua tunabandua ule wa kune mti wenye mchwa....asee mate yamenijaa dah..
Hapo napo ni swali lingineDuh!sasa huo udogo huwa hauna vimichanga
Hivi tatizo ni nn hamu au????Si lazima...me nakula udongo vibaya mno,tena umentamanisha hapa umeniishia.....
Hata school tulikua tunabandua ule wa kune mti wenye mchwa....asee mate yamenijaa dah..
Unao ila wenye vimchanga vingi sio mtamu sana....Duh!sasa huo udogo huwa hauna vimichanga?
Hamu tu mkuu...ila wanasema eti ni ukosefu sijui wa madini gani huko idk...Hivi tatizo ni nn hamu au????
Wengine tena wanatafuna Mkaa sio udongo pekee,, yaani ukileta gunia LA mkaa ndani utaona MTU abafurahia kumbe furaha ya kutafuna mkaa.Naomba mnijibu hili swali kuhusu wanawake wanaokula udongo ,je ni kwa wale wenye mimba tuuu! Au ni huwa wanakula tu kama pipi kwa hamu zao wenyewe?
Naomba mnijibu hasa nyie wanawake wa jamiii forum ambao najua mnajua mengi.
Duuuuh sasa hili si tatizo kuubwa sanaWengine tena wanatafuna Mkaa sio udongo pekee,, yaani ukileta gunia LA mkaa ndani utaona MTU abafurahia kumbe furaha ya kutafuna mkaa.
Mhmmmm bhasi hili ni tatizo la kidaktari si ndio hivyo??Hamu tu mkuu...ila wanasema eti ni ukosefu sijui wa madini gani huko idk...
Hata chaki nazo zina utamu wake,harufu ya kerosene,mkaa kwa mbali[emoji39] [emoji39] [emoji39]