Ni dalili kubwa ya ukosefu wa madini hasa ya chuma(iron defficiency)na mengineyo,pia minyoo inaweza kumsababisha akasikia kichefu chefu cha kula udongo,aidha yaweza kuwa najikumbushia enzi alivyokuwa mjamzito,au ameshindwa kuacha kwa kukumbukia ladha yake.yaweza kuwa ni katabia tu.vizuri apatiwe huduma ya daktari afanye vipimo sahihi na uhakika