simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,216
Sijui nini kinachotufanya tule ugali na wali kila siku utasema tumepangiwa na serikali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifumbue kidogo usukumani wanakula nini usikuHahaha
Kwamba tumepangiwa na serikali
Nadhani ni mazoea tu ni kama ukiishi pwani hasa Zanzibar au mombasa utaona tofauti na usukumani au uchagani.
Duh kulima nini hapo aya ya mwisho?[emoji15]Kwetu hakuna chakula chepesi maana huwezi kutulisha tambi hatushibi wakati kuna majimbi,mihogo,ndizi,viazi vyote na mbatata (kiazi utam)wali na ugali.nk.
~Na acha tule tu maana km kulima tako tunalima jamani mweee,chai asbh tu kwa baadhi ya familia zimeanza juzi maana unapewa maziwa na viazi utam asbh.
Dada kwetu sisi ni wakulima wa mazao sa hivi tunapalilia mahind,tunapanda viazi mviringo na kwa mashamba yalio mbali na makazi tunayo ishi hali ya hewa tofauti huko tupo kuandaa mashamba.kazi ngumu siwezi kula bofloDuh kulima nini hapo aya ya mwisho?[emoji15]
Kwetu hakuna chakula chepesi maana huwezi kutulisha tambi hatushibi wakati kuna majimbi,mihogo,ndizi,viazi vyote na mbatata (kiazi utam)wali na ugali.nk.
~Na acha tule tu maana km kulima tako tunalima jamani mweee,chai asbh tu kwa baadhi ya familia zimeanza juzi maana unapewa maziwa na viazi utam asbh.
Duh kulima nini hapo aya ya mwisho?[emoji15]
Kwetu hakuna chakula chepesi maana huwezi kutulisha tambi hatushibi wakati kuna majimbi,mihogo,ndizi,viazi vyote na mbatata (kiazi utam)wali na ugali.nk.
~Na acha tule tu maana km kulima tako tunalima jamani mweee,chai asbh tu kwa baadhi ya familia zimeanza juzi maana unapewa maziwa na viazi utam asbh.
Kuna sehemu ya edit Unge edit tuJamani sio tako ni nako,shida ya mipyatilo jamani
Umesha elewa ungekuwa hujaelewa usinge semaKuna sehemu ya edit Unge edit tu
Ugali mkuu, chakula pendwaNifumbue kidogo usukumani wanakula nini usiku