Kulaa......... Maisha bora jamani ...............

Inanukumbusha wakati tuko jeshini tulivyokuwa tunalala kwenye benchi wakati wa lindo na kuchapa usingizi bila kudondoka!
 
Halafu inavyoonekana hizo kandambili ni mali ya familia ndo maana zikanunuliwa over size na wazazi nao wawe comfortable kushare.jk yuko uswis akirudi ntamwambia.
 
Halafu inavyoonekana hizo kandambili ni mali ya familia ndo maana zikanunuliwa over size na wazazi nao wawe comfortable kushare.jk yuko uswis akirudi ntamwambia.

Inawezekana hata nyumba ni chumba kimoja sasa kulala kwa zamu! msela kachoka kusubili zamu yake kaamua kupiga mbonji hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…