Kulala chali huku kunamainisha nini ?

Kulala chali huku kunamainisha nini ?

Spear

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2008
Posts
507
Reaction score
29
article-1347414-0CC59ACD000005DC-363_468x370.jpg
 
Apa hawa vijana walio lala chini wanasimikwa kuwa mapadre.kulala huku chini kuna maanisha ya kuwa wanaifia Dunia na kumfata Yesu Kristo.So wanaiacha dunia na matamanio yake yote for Jesus
 
Wanajiweka wakfu kwamba wanamtumikia Mungu na kazi yake. Naamini hapo kawaida kuna nyimbo maalumu zinazoimbwa
 
Tofautisha chali na kifudifudi, au una double vision?
 
Wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisikaaa milelee daima
 
Mapadre mmhh ok..
mie sikujua wanalalaga chini hivyo..
 
Wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisikaaa milelee daima

Umenifurahisha kuwa waenda sambamba na Rose Mhando, yaani bonge la pambio; kifuatacho, achana na ushabiki wa kupindukia kule jukwaa la kikubwa.
 
Back
Top Bottom