hayo mambo ya ku do mpaka mnapotaka babies nasikia ni wayahudi
wale fundamentalist..sijui wajapan....
but culture zingine unagundua kuwa sisi waafrika hasa wanaume tulivyo'bahatika'
ulaya ukimwambia mtu nina wake wawili...anakutazama kama cinema lol
kwa hiyo kwako kuna Security kwa mpenzio kulala kwenye chumba kingine na wewe kulala kwingine mnakutana Dinning kwenye chai?Mkuu una wawili??!!! Dah cant stand sharing my man, can tolerate vingine ila sijui katoka kule ailete huku! Noop
why do we still call them researches?.....
one of the big weaknesses za qualitative research........ ni kuwa hakuna generalisation!.....
why do we still call them researches?
Labda sijakuelewa, unaposema kwenye qualitative research hakuna generalisation, unakusudia kusema nini?unajua maana ya research kwa kuanzia?? kila aina ya utafiti (qulaitative ama quantitative) unakuwa na limitation zake. na hayo ndo mambo yanayotoa ajira kila wakati kwa wenzetu waio wavivu wa kufikiri. ukiona mwenzio kafanya hichi unatafuta gap,unaikuza na inakuweka mjini. ndo maana tukitafuta tiba ya ukimwi (quantitative research), still tutatafuta chanjo na kadhalika zake!
mmmmm hayo ni Japan?Je mbona ya Wachina hamsemi?mmmm.Leta ya Wachina bana wao wana du mchana tu eti usiku ni kupumzika na siyo ku du..